Recent content by Camalillo

  1. C

    Wale mliokuwa mnasema Rais Magufuli hajui lugha ya malkia hapo vipi??

    Mkapa ni LINGUIST na Magufuli ni CHEMIST/MATHEMATICIAN
  2. C

    Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    AU UMEMCHUKIA KWA SABABU HII HAPA CHINI: MAONI YA DAVID KAFULILA KUHUSU RIPOTI YA CAG NA MSIMAMO WA ACT. 1. Baada ya Chama Cha ACT kutoa tamko lao kwa kina Jana kuhusu Ripoti ya CAG kwa hesabu za 2016/17, nimeulizwa na wadau wengi kuhusu maoni yangu kufuatia tamko hilo wakihusianisha na...
  3. C

    Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Cit Cite kipengele hicho cha 1.5trilion kutoka ripoti ya CAG kitupie hapa!
  4. C

    Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Toa ujinga, angalia ktk ripoti ya CAG kuna sehemu kaandika 1.5 trillion imepotea? Au ni hesabu za kijinga tu kutaka umaarufu?
  5. C

    Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Zitto Hoja namba 7: CAG aliweka wazi kilichoisababisha serikali kupata hati chafu kuwa ni vyama saba vya siasa na alivitaja kwa majina kutokuwa na mahesabu mazuri, wewe hapa unakimbilia Katibu Mkuu Hazina awajibishwe? Hiki ni kichekesho na uchonganishi wa waziwazi eti kwa kuwa kuna maDED...
  6. C

    Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Zitto Hoja namba 5: Mheshimiwa uwe makini na uchambuzi wako, mwaka wa fedha 2016/17 serikali ilipitisha kwa kutenga kiasi cha TZS 600bn/- fedha kwa ajili ya kulipa madeni yote ya serikali yaliyokaguliwa na CAG na IAG(Internal Auditor General), madeni haya ndiyo yamekuwa yakilipwa kupitia fungu...
  7. C

    Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Zitto Hoja namba 3: Kifungu cha 5 cha Appropriation Act 2017 kinamruhusu Waziri wa Fedha na Mipango kukopa kiasi chochote cha fedha kisichozidi Bajeti ya Serikali iliyopitishwa (yaani trilion 29.5) lakini serikali iliweza kukusanya trilioni 25.3 tu, hivyo haikufikia lengo la kukusanya mapato...
  8. C

    Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Zitto Wewe ni mbunge wakati mwingine unakosa maarifa, kumbuka mwaka wa fedha husika unapofika ukomo mafungu yote hutakiwa kurejesha mfuko mkuu kiasi chote walichopewa cha fedha kama hawajakitumia kwa sababu mbalimbali, hata hivyo sheria ya bajeti Na.11 ya mwaka 2015 inatoa nafasi kwa Afisa...
  9. C

    Kumbe nchi hii kuna watu bado wanajilipa posho 400,000 kwa siku?

    Nachotetea uhalali wa hii taarifa, hilo la mtoto wa dada halinihusu, nachukia upotoshaji.
  10. C

    Kumbe nchi hii kuna watu bado wanajilipa posho 400,000 kwa siku?

    Uliwahi kuona wapi watu wanalipwa honoraria kazi hata haijamalizika??????? Honoraria inalipwa kazi imemalizika na huwa ni maamuzi ya aliyewapa kazi ni kiwango gani anawalipa kulingana na ama kufurahishwa na kazi n.k sasa hapa kazi inamalizika mwezi wa tisa eti wamelipwa honoraria in advance -...
  11. C

    Kumbe nchi hii kuna watu bado wanajilipa posho 400,000 kwa siku?

    Hilo ndilo swali langu hata mimi, harafu uliwahi kuona wapi honoraria inaombwa hata kazi haijamalizika ???? Hii kitu ni fake.
  12. C

    Kumbe nchi hii kuna watu bado wanajilipa posho 400,000 kwa siku?

    Dokezo ni fake, aliyechukua alitakiwa aipate na idhini ya huyo PST , au malipo ya hiyo posho wakiwa wamesaini, sasa hapa unaaminije hiyo hela wamekula- imekaa kiudakuudaku ndiyo maana hata kina Lissu, Mdee n.k hawajashobokea kuweka kwenye twitter zao!
  13. C

    Kumbe nchi hii kuna watu bado wanajilipa posho 400,000 kwa siku?

    1. Dokezo lilitakiwa liwe na idhini ya Katibu Mkuu - hapa kuna wasiwasi kuwa limetengenezwa 2. Kuna ufisadi mkubwa tayari umeshaibuliwa ktk zoezi hilo karibia asilimia 70 ya fedha zinazokaguliwa imethibitika ni hewa na kiasi kikubwa sana cha fedha za serikali kimeokolewa, nadhani serikali...
  14. C

    Kakonko, Kigoma: Rais Magufuli azindua Barabara ya KM 50 kutoka Kibondo hadi Nyakanazi

    Akiwa ziarani Kigoma, Rais Magufuli ameendelea kugongelea musumari kwa kampuni ya ACACIA kwa kuwaambia kitendo cha kuchelewa kuanza majadiliano yupo tayari kufunga migodi yote kwa kuwa upo ushahidi wa wazi kabisa kuwa ACACIA na makampuni yake dada ya Bulyankulu, Pangea na North Mara yalikwepa...
Back
Top Bottom