Recent content by Calvin Samurai

  1. C

    Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    This is awesome argument.. Watu wengi wanaoreply hapa wanakandamiza watanzania kwavile labda wao hawakuweka hela.. Hata mimi skuweka hela ila kuna watu wangu wa karibu sana waliweka hela. Ishu hii ni yakitaifa, na madhara yake yanaonekana wazi kabisa, moja ya kazi za serikali ni kulinda...
  2. C

    Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    What is the role of the government to its own citizens??
  3. C

    Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    Wanashirikiana na Serikali,.. Much as people lost their money, there someone in the top government position gain billions of money
  4. C

    Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    Sijapoteza kitu.. Ila kuna washkaji wangu wamepoteza hela nyingi sana
  5. C

    Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    Inasikitisha sana kuwa serikali yetu iko kimya sana kuhusu hii ishu. Nini kifanyike ili wananchi wa Tanzania wasikumbane na madhila ya namna kama hii? Elimu itolewe kuhusu utapeli wa mitandaoni.
Back
Top Bottom