Recent content by calvin priva

  1. calvin priva

    SOFTWARE Aina za website tunazotengeneza na malipo yake.

    1.SIMPLE WEBSITE Hii simple website hatutengenezi kwa gharama kubwa kwasababu inamuonekano mzuri lakini haina vitu vingi ndani yake. Itakuwa hivi ikishakamilika, -Domain name yako.. mfano- www.yasin.com -Hosting.. Tutaitangaza website yako na watembeleaji wataweza kuisearch kupitia google...
  2. calvin priva

    SOFTWARE Habari.. Tunatengeneza logo, blogs, websites, mobile application na tunafanya hosting.

    Habari wakuu.. Kwa wale wanaohitaji kuwa na blogs, website au mobile app, tunafanya huduma hizo za kutengeneza kwa bei nafuu kabisa na kwa muda mfupi tu kazi yako inakamilika pia tunaweka matangazo kwenye mobile app ambayo yatakusaidia kukupa kipato cha ziada mtu atakapoyasoma na huduma hiyo ni...
  3. calvin priva

    Habari za huku kaka zangu na dada zangu ninawazo kidogo la biashara naombeni ushauri wenu.

    Ni kweli kaka ila mimi nilikuwa nakaa hostel zilizopo mori na bei zilkuwa juu ya 70 halafu sababu za wanafunzi wengi kukimbia niliziona baadhi ndio maana nimeamua kufanyia tu hukohuko sinza ila nitafuatilia zaidi kutokana na ushauri wako kaka, asante.
  4. calvin priva

    Habari za huku kaka zangu na dada zangu ninawazo kidogo la biashara naombeni ushauri wenu.

    Asante sana ndugu.. Hostel nimeplan iwe sinza kama nitafanikiwa maana hostel nyingi za huku hazikidhi vigezo na husababisha wanafunzi wengi kuzikimbia hivyo kuna uhitaji mkubwa wa hostel, gharama ya chumba kimoja ni elfu sabini kwa mwezi na italipwa kwa awamu tatu yaani laki mbili na themanini...
  5. calvin priva

    Habari za huku kaka zangu na dada zangu ninawazo kidogo la biashara naombeni ushauri wenu.

    Hapana, sina kiwanja kariakoo maana sehemu ambapo kuna uhitaji wa hostel hiyo ni maeneo ya sinza na watu wengi sana wanahangaika kutafuta hostel
  6. calvin priva

    Habari za huku kaka zangu na dada zangu ninawazo kidogo la biashara naombeni ushauri wenu.

    Hapana ndugu sina kiwanja ila nipo eneo ambalo kuna uhitaji mkubwa wa hostel
  7. calvin priva

    Habari za huku kaka zangu na dada zangu ninawazo kidogo la biashara naombeni ushauri wenu.

    Asanteni sana kwa ushirikiano.. sina kiwanja ila gharama ya chumba kimoja ni Tsh.70,000 kwa mwezi then watalipia kwa miezi minne (awamu 3 kwa mwaka) that means ni sawa na Tsh.280,000 na kila chumba kimoja watakaa watu wanne. Ukiangalia hesabu ya mwaka mmoja kwa vyumba arobaini vya mdhamini...
  8. calvin priva

    Habari za huku kaka zangu na dada zangu ninawazo kidogo la biashara naombeni ushauri wenu.

    Nimewaza sana kutafuta ufadhili wa kampuni yoyote ili inijengee hostels za kisasa zenye vyumba hamsini lakini nimeona ni vyema nilete wazo langu hapa na baada ya hapo ndo nichukue maamuzi, malipo ya deni la kampuni tutakatana ndani ya miaka kadhaa hadi pesa yao imalizike na haitaniumiza...
Back
Top Bottom