Recent content by Calvin Darlington

  1. C

    Upatikanaji Wa Pesa Mtandaoni

    Samahani ninaomba kuuliza kama PayPal hairuhusu mtu wa Tanzania kutoa pesa katika account ya PayPal nitatumia njia ipi ili nijipatie kipato kama nahitaji kuwa blogger au kutumia njia nyingine ya kuniingizia kipato? naombeni mnisaidie kwa hili. Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom