Recent content by caltacy

  1. C

    True love

    mwanaume mwenye mapenz ya dhati anahtajika for long term relationship ila asiwe mwalimu au mwanafunzi this iz serious so kwa maelezo ani Pm tuzingumze wa mkoa wa mbeya iringa na moro watapewa kipaumbele karibuni
  2. C

    Iam looking a woman for longterm relation

    chek me now
  3. C

    True love

    Mimi ni msichana wa miaka 24 nipo chuo kwa sasa, natafuta mchumba awe na kazi yake ila siyo mwalimu asiwe mfupi wala mrefu mengine tutawasiliana baada ya kufahamiana. Karibu PM
  4. C

    Natafua mchumba

    Huo ni mtazamo wako but evry body has their choice
  5. C

    Natafua mchumba

    asante kwa ushaur wako@
  6. C

    Natafua mchumba

    npo serious jaman
  7. C

    Natafua mchumba

    Ni msichana nina miaka24 natafuta mchumba mwenye kazi but except mwalimu awe mkristo.
Back
Top Bottom