Habari naitwa Daniel, ni dereva mwenye uzoefu, muadilifu, mchapakazi, mtunzaji wa chombo na muaminifu. Natafuta gari kwaajili ya biashara ya mtandaoni Uber, Bolt, Paisha, Moovin, InDriver either iwe gari ya mkataba au hesabu ya kawaida kila mwisho wa wiki.
Nina leseni yenye madaraja husika...