Nilitumia dawa za Malaria aina ya Co-Malafin,nilitumia siku tatu,baada ya hapo,siwezi kukaa juani au sehemu yoyote ile yenye joto!yaani Mwili unachomachoma mpaka vinatokea vipele na vinauma sana,sasa inabidi nitafute baridi au maji nijipakepake au kivuli,nikishafanya hivyo mwili unarudi ktk hali...