Recent content by C0000-5068-428-1

  1. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kaka kimenihuzunisha sana!!

    Pole sana mkuu, Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu
  2. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Mabasi, case study Japan!

    yaani kwakweli kazi ipo
  3. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    kuna dereva alikatwa alama bila kosa?
  4. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na...
  5. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Siha mliwaza nini kumpa barua ya uhamisho mwalimu huku mkijua hakuna hela za kumwezesha kuhama?

    nafikiri sio sawa kumpangia mtu matumizi yake ya fedha, kama anaweka akiba ni za mambo yake binafsi sio uhamisho! wewe kama unataka kumuhamisha mtu mlipe hela ahame, una familia kubwa unahamaje kwa laki tatu na hamsini?
  6. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania CCM yatikisa Iringa, maelfu wajitokeza, Watanzania bado wanaimani kubwa na CCM

    ni upendo tu hawajajazwa
  7. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania CCM yatikisa Iringa, maelfu wajitokeza, Watanzania bado wanaimani kubwa na CCM

    CCM inazidi kujidhirihisha kua ndio chama kikubwa Africa hii ni ziara ya mwenezi mkoani iringa Karibuni sana Chama kubwa
  8. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    mbona matusi mkuu
Back
Top Bottom