Recent content by bygrace

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kibaha ina hati

    Uwanja ni mkubwa..plan ilikuwa kujenga nyumba tatu za design moja kwenye hilo eneo...hiyo ni ya kwanza.. si nyumba ndogo ina vyumba viwili..kimoja master..sebule...jiko...choo na bafu na store...nadhani umeelewa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kibaha ina hati

    Visiga Madafu...nimeandika Mkuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kibaha ina hati

    Pwani kuna nini Mkuu?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kibaha ina hati

    Serious buyers ni PM...INA HATI JA UWANJA NI MKUBWA
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kibaha ina hati

    Wadau, Nyumba inauzwa Kibaha Visiga ina hati imefunga mpaka lenta, kiwanja kikubwa unaweza jenga nyumba nyingine kubwa na uwanja ukabaki eneo ni 588sm bei ni shilingi 20 milion, bara bara mpaka kiwanjani, umeme na maji vimefika, haina udalali.
Back
Top Bottom