Moshi Tunahitaji Kiongozi wa Kweli mwenye matokeo ya maendeleo Sio Mtumwa wa Makundi!!!!
Katika kipindi hiki muhimu cha siasa Moshi mjini inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa na unao onekana kwa wazi, na moyo wa dhati wa kuwatumikia wananchi, si...
Moshi mjiniTunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi!
Katika kipindi hiki muhimu cha siasa, Moshi inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa, na moyo wa dhati wa kuwatumikia wananchi, si mtu anayesukumwa na makundi ya kimaslahi au ajenda...
Mwenye Jimbo la Moshi mjini ni mmoja tuu naye ndiye anayewapa msongo wa mawazo waroho wa madaraka na kufanya wajione wanaweza KAZI za kiume wakati wao ni wavulana....
Mbunge asiye na chembe ya futna Wala magomvi...
Mbunge PRISCUS TARIMO ni mtu mwenye hofu na MUNGU...
Mbunge wetu anapigania...
Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini....
Kundi Hilo limeathirika kwa kushindwa kujinadi nini watafanya na kwanini aliyekupo hajamaliza mnampiga vita na kutusi na kukejeli KAZI za kutekelezwa...
Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @Priscus Tarimo B amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini...
Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
Ajabu sana kwani wewe unatumia aina gani ya akili kichwani kwako??
Unakiri kuleta gari je ulitaka alete nini maendeleo ni aina Tofauti ya miradi na utatuzi WA kero aina mbalimbali sasa wewe ulitaka alete gari ya kutembelea??
Unakiri ukarabati wa Uwanja wa mpira na uwanja wa ndege je ulitaka...
Huu ni uongo mkubwa sana Wala huyu kaka mkubwa hajakutuma na haya ni maneno ya ibraline ili Kuonyesha tabia yake ya kutangaza kutaka ubunge kabla ya wakati sio yeye pekee na wengine pia wapo huyu ibraline ni mtu wa ajabu aliye tangaza hijja kubwa ni rombo na si saudia huyu mtu anatokwa akili...
Acha kupotosha watu mbunge kafanya kazi kubwa sana kuliko wapinzani waliokaa kwa miaka 20 usijidai mwanaccm kumbe mpinzani kibaraka wa Ibraline acha kupotosha mbunge amefanya makubwa sana nipongezi kubwa sana kwake na hata mpaka sasa nenda pale mawenzi usikie aibu majengo yalivyojengwa na njoo...
1. Uwanja wa ndege( kazi inaendelea)
2. Hospitali ya Wilaya
3. Uwanja wa mpira Majengo
4. Shule Mpya 4. Za Msingi 2, Sekondari 2
5. Jengo la matibabu ya kansa kwa mionzi
6. Jengo la Mama na mtoto, jengo la matibabu ya dharura (EMD) jengo la kuhifadhi maiti pale Mawenzi Hospitali
7...
Haya ni nani kayasimamia MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI..
1. Uwanja wa ndege( kazi itaendelea muda sio mrefu)
2. Hospitali ya Wilaya
3. Uwanja wa mpira Majengo(kazi inaendelea)
4. Shule Mpya 4. Za Msingi 2, Sekondari 2
5. Jengo la matibabu ya kansa kwa mionzi
6. Jengo la Mama na mtoto...
1. Uwanja wa ndege( kazi inaendelea)
2. Hospitali ya Wilaya
3. Uwanja wa mpira Majengo
4. Shule Mpya 4. Za Msingi 2, Sekondari 2
5. Jengo la matibabu ya kansa kwa mionzi
6. Jengo la Mama na mtoto, jengo la matibabu ya dharura (EMD) jengo la kuhifadhi maiti pale Mawenzi Hospitali
7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.