Katiba na sheria ya tanzania kuwa kipofu juu ya report ya CAG kwa kushindwa kuwaajibisha watendaji wote waliotajwa kwenye report. Kwahiyo Hakuna haja ya kusoma au kuichambua maana makosa yanayojirudia na hakuna wa kuwajibishwa.
Story hii inahusu changamoto ya elimu Tanzania(ubora na masomo ya ziada).Nimeambatanisha Nakala ya somo husika
-
MASOMO YA ZIADA NA UBORA WA ELIMU
Katika maisha yangu ya elimu suala la masomo ya ziada ni sehemu ya asilimia 10 tu ya mafanikio yangu ya elimu. Kwani niliwahi kusoma masomo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.