Recent content by Bwanamkulima

  1. B

    Ningepata bahati ya kukutana na Rais Samia ningeomba anisaidie shilingi Millioni Mbili tu ya mtaji nifungue ofisi Kariakoo

    Wambie ukweli hawa biashara sio kuinvest mtaji mkubwa bali ni kuinvest wazo zuri litakalouzika kirahisi. Unaweza pewa hiyo millioni 200 ukaingia kariakoo ukaishia kuweka yote tumboni.
  2. B

    Ningepata bahati ya kukutana na Rais Samia ningeomba anisaidie shilingi Millioni Mbili tu ya mtaji nifungue ofisi Kariakoo

    Angalau unamawazo yenye akili, mmoja achukue hili. Nikitoa wazo langu hapa lazima utalikubali.
  3. B

    Ningepata bahati ya kukutana na Rais Samia ningeomba anisaidie shilingi Millioni Mbili tu ya mtaji nifungue ofisi Kariakoo

    Millioni 2 pesa. Nipo seriously ndio mtaji nao hitaji kuanza biashara niliyopanga kuifanya pale Kariakoo.
  4. B

    Ningepata bahati ya kukutana na Rais Samia ningeomba anisaidie shilingi Millioni Mbili tu ya mtaji nifungue ofisi Kariakoo

    Mfanyabiashara yupoje, sifa ya mfanya biashara mzuri ni yule anayeanza kwa mtaji kidogo. Kuanzisha biashara nzuri huanza na wazo zuri la biashara na sio pesa nyingi ya mtaji. Simama kwenye wazo achana na mambo ya mtaji mkubwa.
  5. B

    Ningepata bahati ya kukutana na Rais Samia ningeomba anisaidie shilingi Millioni Mbili tu ya mtaji nifungue ofisi Kariakoo

    Nina uhakika na nilicho kiandika nitaingia Kariakoo na mtaji huo. Sitozidisha
  6. B

    Ningepata bahati ya kukutana na Rais Samia ningeomba anisaidie shilingi Millioni Mbili tu ya mtaji nifungue ofisi Kariakoo

    Kwenye biashara huwa hatuigani kila mtu anawazo lake. wazo lingine linaweza kutumia mtaji mkubwa lakini likakuletea faida kidogo na wazo lingine litatumia mtaji kidogo tu na kukuletea faida kubwa.
  7. B

    Ningepata bahati ya kukutana na Rais Samia ningeomba anisaidie shilingi Millioni Mbili tu ya mtaji nifungue ofisi Kariakoo

    Upo wakati ambao unaweza kuwa na mawazo mengi mazuri ya biashara mpaka ukasahau kutafuta ajira za kuajiriwa. Wakati mwingine unakua unawaza sasa kama nikitafuta ajira ni nani atakayeweza kutekeleza haya mawazo yangu. Naomba nianzie hapa kabla yakwenda kwenye utangulizi; Kama ningepata bahati ya...
Back
Top Bottom