Ukiona hata taasisi za kitaalamu zimekubali politicization ujue nchi imekwisha ...huu ni mpango mikakati tu kama Ile yote inayopangwa na wenye masrahi Yao dhidi ya ukweli ..toka Sept na Leo Oktoba tone hata Moja halipo lakini hadi nyimbo zimeshatungwa. Zamani sie tulisoma katika hari zote za...
"Crazy world" Wenye akili walishajua mwanamke kwake ni jikoni. Kumpa vyeo vikubwa namna hii akakutana na check bob hachelewi kuhamia kwa jirani ..absolutely happening in Tz. Wa "huba"🤣🤣 katangulia mbele za haki😰😰
Hao wote hakuna aliyeoa mwanamke adui yake wote walikuwa na upendo usio na kifani ila kwa vile mwanadamu anabadilika na kwa vile wanawake wameambiwa watatawaliwa na tamaa katika ya safari yenu tamaa inamchukua. Hata kama alikuwa ni malaika anaponzwa na tamaa anaanza kutamani, anakutana na...
Wameingia mkenge wanaharakati wamewauza kwa 50/50 na kudhani Mungu alikuwa mjinga. Sahivi sie wanaume tunajiandaa kulinda Mali zetu kwa gharama yoyote Ile hata kwa kumwaga damu. Mwanaume kamwe usiruhusu mwanamke akupande kichwani ama ukabaini anataka kuchezea Mali zako ukaanza kucheka Cheka naye...
Hayo mbona bado madogo, zile si mchezo. Usije kushangaa siku wanakwambia anatamani kuvua nguo akimbie hapo Sasa ndo atakuja kuelewa maana ya damu ni Nini ..just wait
Na nasikia pale Halmashauli Yuko bwana mmoja ndani ya ofisi ya ardhi kama mkuu wa Idara michongo yote anayo yeye. Huyu bwana nasikia aliwahi kuondolewa wakati wa JPM lakini baada ya kifo alirudishwa tena ...naendelea kufuatilia jina lake
Sasa napata kuelewa zaidi maana ya El-nino na safisha safisha ya barabara na machinga. Tunawekwa mkao wa wao kuleta matukio Yao soon. Mungu na atunusuru na shetani
Hii imenifanya niyakumbuke rais J. F. Kennedy mpaka wamarekani wakaamua kumuua tu maana alipeleka umalaya mpaka kwenye Ikulu Yao anaingiza michepuko mara anatoroka kwenda Uingereza kilichofata wakaona usituchezee
Nimejaribu kuelezea kwamba, wanaume wa bara hatuna 50/50. Na sie mwanamke tunamtreat kama tulivyoambiwa katika vitabu vitakatifu kwamba mwanamke atakuwa chini yangu na anatakiwa kuniheshimu. Sasa hauwezi ukaolewa kwangu tena alafu ukataka kunipanda kichwani wakati mie ndie nimekuoa wewe wa Pwani...
Nimepata kulijua hili eneo liko mtaa unaitwa Viziwa ziwa ukitokea kwa mfipa. Nasikia eneo Hilo wananchi hawaruhusiwi kuomba umeme mpaka mtu amalize deni lake hata kama ni milioni 10. Sasa unawaza, mwananchi anayehangaika na pesa ya kununua sembe kg 1 tu aweze kula ndo unamwambia asipolipa hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.