Recent content by butaladangwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kero kwa watoto wa mtaani Mwanza

    Nataka kuuliza serikali ina mpango Gani kuhusiana na watoto wa mtaani jijini mwanza. Maana wanasumbua kweli katika maeneo ya Seketoure na Nata Je, hao watoto hawana wazazi. Na kama hawana wazazi, kwanini Serikali halijalichukulia maanani hilo suala?
Back
Top Bottom