lukesam usijali ndugu ukitaka hata mzima ambae hajachinjwa sema utapata. Usiogope bei, nauza kwa bei hiyo ili watu wengi waweze ku-afford na kwasababu pia mimi napata kwa bei nzuri.
Samahani The Boss kwa kukawia kukujibu, busy weekend. Anyway, nipo Mbezi beach Jogoo, simu nafanyia kazi kupata ambayo itakuwa ya kiofisi tu ikiwa tayari utapata. Kama wateja wakitaka wawe wanapata na firigis/maini basi itakuwa hivyo, nilikuwa sijaamua bado maana ambao wameshanunua hawakujali...
Wakuu,
Nauza kuku wa kienyeji ambao wamekwisha chinjwa tayari kwa sh 10,000 mpaka 12,000. Nipo maeneo ya Mbezi Beach ila ikibidi naweza kukufikishia ulipo (utagharamia usafiri). Kama una uhitaji toa order yako mapema maana nikileta hazikai sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.