Recent content by busha

  1. busha

    CCM football club.

    Wakuu nimewaza nikafikiria hivi CCM wangekua na timu ya soka ingekuwaje ndani dk 90 uwanjani? Baada ya izo dk 90 kuisha uwanjani CCM kala 4-0 matokeo yanaweza achwa ivyoivyo au yatageuzwa?
  2. busha

    Kero uwanja wa Benjamini W. Mkapa! Hali ni mbaya

    Kipaumbele ni kudhibiti mapato kwa N-card na kukata kodi kwenye viingilio,hayo mambo ya usafi wa uwanja na miundombinu mingine mtajijua. Hapo ndo tulipofikia hili li nchi la miaka 60 ya uhuru.
  3. busha

    Aibu! Aibu! Aibu! National Stadium!!!

    Nimeona youtube watu wanalalamika uwanja mchafu.
  4. busha

    Kariakoo Derby na utalii.

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania. Kama mnavyojua Kariakoo derby inahekaheka mpaka mikoani huko,mechi inachezwa Dar lakini miji mingine ya Tanzania kunakuwa na patashika nguo kuchanika kiasi kwamba utadhani mechi inachezwa kwenye huo mkoa. Wapenzi na mashabiki wenzangu hasa wa mpira...
  5. busha

    Naunga mkono hoja ya Mjumbe C.Magori

    Simba tunaweza.
  6. busha

    Kibu Denis kiwango chake anafaa kucheza Tanzania ila sio Simba

    Mkuu John Boco kiwango kimeshuka lakini alisajiliwa Simba akiwa na kiwango chake bora,lakini kwa Kibu ni tofauti kasajiliwa kucheza Simba akiwa na kiwango kibovu.
  7. busha

    Kibu Denis kiwango chake anafaa kucheza Tanzania ila sio Simba

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mchezaji wa Simba Kibu Denis hana kiwango cha kucheza Simba ni mzigo, hana footwork nzuri. Hana unyambulifu wa mwili (body flexbility) Pasi zake za kutoa na kupokea zinapotea kwa wepesi sana.
  8. busha

    TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

    Aiwezekani kwasababu mpaka wenye nchi wametunza mioyo yao Simba na Yanga,je'sisi waongozwaji kwanini na sisi tusipende hizi timu!
  9. busha

    Mission failed kwa GSM

    Mpango wa GSM kuwa mdhamini mwenza unaanza kukutana na changamoto. Nadiriki kusema kwamba mapungufu ya mkataba yasingejadiliwa kama:- 1) Mbele ya media kusengekua na sura za uyanga wakati wa utiaji saini wa mkataba. 2) Post tata za Manara mitandaoni kuhusu kuwamiliki Simba kupitia mkataba wa...
  10. busha

    Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

    Kazi iendeleee.
  11. busha

    TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

    Kuhusu nembo ya NBC nadhani tff wali experience kwenye nembo ya gsm kuwa njano na kijani badala ya nyekundu na nyeupe.mwenye nembo akikubali rangi ibadilishwe akuna shida kikubwa ni nembo imevaliwa.
  12. busha

    TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

    Aisee mpila wa bongo unaheka heka nyingi.
  13. busha

    TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

    Acheni kukeraa sasa.mtauwa wenzenu.
  14. busha

    TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

    Kwa point yako kama naanza kukubali unachosema.
  15. busha

    TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

    Kwasababu tajwa hapo juu na Simba nao wanadeka. Jambo kama hili la mgogoro wa tff na Simba likitokea kwa Yanga uwa kuna press mfululizo za body ya ligi au tff kutoa vitisho na mikwara kwa Yanga. Lakini kwa Simba tff na body ya ligi huwa wanaonyesha unyonge fulani hivi tofauti na...
Back
Top Bottom