Recent content by BUSAWE

  1. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Ujenzi wa Demokrasia ni safari ndefu yenye milima, mabonde, miiba, mawe na kila aina ya majaribu yenye vikwazo

    Hata CDM pia hakuna kuhoji.Sasa ni mabadiliko gani wanayotuambia.Kumbe nao wezi tu,hakuna uwazi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Ujenzi wa Demokrasia ni safari ndefu yenye milima, mabonde, miiba, mawe na kila aina ya majaribu yenye vikwazo

    Watu wanataka upinzani uonyeshe mfano wa uwazi wa matumizi ya fedha ili waaminiwe,halafu una kuja na hoja ya kujilinganisha na CCM ambao unawatuhumu.Kwa maana hiyo hata CDM ni wale wale wezi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Ujenzi wa Demokrasia ni safari ndefu yenye milima, mabonde, miiba, mawe na kila aina ya majaribu yenye vikwazo

    Unakomaa na kununuliwa,mbona hoja ya ruzuku hutaki kuigusia.Hata Zito alitimuliwa kwa sababu ya kuhoji ruzuku
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

    Mkuu umenena vyema,kuna kitu CDM wanapaswa kukiweka sawa kuhusiana na ruzuku
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tumshauri Kigwangala afanye kazi ya uwaziri. Anachokifanya sasa ni utalii mtupu

    Ndo maana nampongeza Rais Magufuli style anayotumia kuongoza nchi.Ukiwasikiliza waswahili hakuna kitu utafanya.Muda ukiisha wanakulalamikia hukufanya lolote.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uswis kakaa nchini kwa wiki mbili akiangalia mbuga na Zanzibar, kaondoka kimyakimya bila kuonana na Rais Magufuli

    Hoja kama hii haiwezi kuwa imetolewa na great thinker
  7. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano yatenga Tshs Bilioni 495 kununua ndege mbili mpya za kisasa

    Kama wewe haupandi tulia,wengine tunapanda
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ukuta utazuia raia kujenga holela kwenye eneo la machimbo ila si kuzuia wezi wa madini maana hawatokei porini

    Wewe ulitaka takwimu ya namna gani.Tulieni Rais afanye kazi,mlizoea ujanja ujanja.Fuata sheria ili upate kipato halali,vinginevyo utazeeka vibaya.Magufuli kaza buti.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Manyara: Rais Magufuli azindua Ukuta wa Mirerani uliojengwa na JKT, ampa milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite

    Hahaha,wale wanaocheza mziki wa Magu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Manyara: Rais Magufuli azindua Ukuta wa Mirerani uliojengwa na JKT, ampa milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite

    Mkuu kauli kama hii sio nzuri sana kwa watu fulani wanaojiita wazalendo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Manyara: Rais Magufuli azindua Ukuta wa Mirerani uliojengwa na JKT, ampa milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite

    Subiri hotuba,majibu yote utayapata
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua nyumba za makazi ya Polisi Arusha 07/04/2018

    Wakati Gharib Bilal akifanya hizo kazi za kuzindua,JK alikuwa anabezwa kuwa kiruka njia hayuko nchini,na sasa ni safari ya 380
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa ukuta na ulinzi Mirerani, Tanzanite italindwa?

    Mkuu umenena vema,JK aliacha Demokrasia ichukue mkondo wake lakini walimtukana na kumdhalilisha.
Back
Top Bottom