Huu ni uchochezi wa kitoto. Raisi alilazimishwa na nani kumteua Magufuli kuwa waziri na kama asingemteua ingekuwaje. Msijaribu kuchonganisha watu bila sababu.
Watu wengi wanakwenda India kutibiwa na hili la Mrema si la kwanza. Je amelipiwa na JK, inawezekana iwe hivyo na pia inawezekana kabisa iwe ni ubunifu tu wa wanaodai hivyo. Kama kweli JK ametowa pesa zake kumlipia ingenishangaza sio kwa kuwa hiyo si fadhila njema bali kwa kuwa serikali inayo...
Inavyoonekana kwa muanzishaji mada hii na wachangiaji wengine tatizo si msada aliotowa Muamar Gaddafi bali tatizo ni imani yake ya kidini. Kama kuna wenye udini basi ni hawa jamaa sio yeye kwani yeye hajasema kuwa msada huo uwanufaishe waislamu na sio wanaoamini itikadi nyingine za kidini. Yeye...
Dr. Slaa,
Ni nini maana halisi ya "demokrasia" ndani ya Chama Cha Demokrasia (CHADEMA) pale ambapo tumekiona chama hicho pamoja na shinikizo lako wewe mwenyewe kumkatalia mwanachama mahiri asithubutu kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama kinyume cha nia na matakwa yake? Kama hatua hii ambayo...
Chanzo cha ufisadi nchi zinazoendelea ni "Development Incorporated" ikijumuisha taasisi zote za nchi zilizoendelea unazofikiria zinatowa misaada ili nchi zinazoendelea ziendelee! Hata hayo ya Kenya ni danganya toto. Miaka yote hiyo leo ndio waonekane ni wakali. Hebu tafuta kajitabu kanachoitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.