Recent content by Busara za mzee

  1. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    Tshs ngapi? Nipo Moshi
  2. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari za Nissan kushtukashtuka(misfire) kati ya speed 40Km/h mpaka 60Km/h

    Plug gani recommended kwa 1az fse na bei zake zikoje?
  3. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Msaada voxy engine 1az fse inakula mafuta balaa. 1 litre per 3km

    Thanks... MREJESHO fundi alibadilisha vacuum sensor gari ikapona. Nguvu imerejea na sasa inakula mafuta vizuri. Imebaki code ya vvti valve najipanga nibadilishe vvti maana kuna mlio unasikika kama rattling au knoking sound fundi akasema ni vvti na ndio faults code iliyobakia. Faults code ya...
  4. Busara za mzee

  5. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

  6. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Kama upo moshi kuna fundi nikuunganishe naye. Na mimi nina noah voxy ilikuwa na shida kibao jamaa aliipambania akafanikiwa. Yupo kiboriloni kwa Alphonce. Ukihitaji nicheck dm nikupe namba yake
  7. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Noah inazingua sana (linamiss na kuwaka taa ya check engine) naombeni msaada

    Napataje hiyo diagnosis tool ya 50 nitakayaconnect na simu yangu?
  8. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Noah inazingua sana (linamiss na kuwaka taa ya check engine) naombeni msaada

    Mkuu nina noah voxy engine 1az fse. Inakula mafuta sana na haina nguvu. Kwa kuwa mi ni mgeni wa magari mafundi wamekuwa wakipiga ramli na kuninunulisha vitu vingi vya gharama na shida imeendelea kuwepo. Fundi wa kwanza aliniambia ni cylinderhead tukafungua engine nzima ikafanyiwa overhaul...
  9. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Msaada wakuu nina noah voxy engine 1az fse. Inakula mafuta sana na haina nguvu. Kwa kuwa mi ni mgeni wa magari mafundi wamekuwa wakipiga ramli na kuninunulisha vitu vingi vya gharama na shida imeendelea kuwepo. Fundi wa kwanza aliniambia ni cylinderhead tukafungua engine nzima ikafanyiwa...
  10. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Na kabla ya oberhaul gari ilikuwa na shida hiyo hiyo. Kunywa mafuta sana na kukosa nguvu. Fundi akashauri overhaul. Na baada ya overhaul shida ikaendelea. Nikabadilisha hiyo kwenye picha hapo juu. Fuel pressure pump, Oxygen sensor, MAF sensor, nozzle na bado shida imeendelea. Break pia...
  11. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Hiyo fuel pressure regulator kwenye 1az fse ndio ikoje?? Maana nikimtajia fundi anaweza asijue Nachokumbuka Nilibadilisha hii kwenye picha, sasa sijui ndio fuel pressure regulator???
  12. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mass flow sensor nilibadilisha pia
  13. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu nina noah voxy engine 1az fse. Inakula mafuta sana na haina nguvu. Kwa kuwa mi ni mgeni wa magari mafundi wamekuwa wakipiga ramli na kuninunulisha vitu vingi vya gharama na shida imeendelea kuwepo. Fundi wa kwanza aliniambia ni cylinderhead tukafungua engine nzima ikafanyiwa overhaul...
  14. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Kichuguu ubaeikiwe sana. Na Mungu akuongezee katika kazi yako. Nimefuatilia Hii thread. Naweza sema hii ni thread bora kabisa ya magari jamii forum.
Back
Top Bottom