Recent content by Burton Emmanuel

  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya Udereva, nina Leseni Class D na Ujuzi wa Ufundi Magari

    Habari za majukumu wana-JamiiForums, Mimi ni kijana niliyepo mkoani Njombe, natafuta nafasi ya kazi ya Udereva. Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani ya Tanzania nafasi ikipatikana. Sifa na Uzoefu Wangu: • Leseni ya Udereva: Nina leseni halali ya Udereva Daraja la D (Class D). •...
Back
Top Bottom