peter hakutembea juu ya maji ila alitembea juu ya neno aliloambiwa na yesu njooo na punde alipotoka ktk meditation ya neno akajiona anatembea juu ya maji hofu ilimjia akazama, hakuna anaeweza kutembea juu ya maji
plz ninaomba kujua niwakati gani ukifikia kwa mama mjamzito haruhusiwa kufanya tendo la ndoa na pia katika kufanya kuna kiwango chochote au umakini wowote unaotakiwa zaidi wakati wakufanya ili isilete madhara kwa mtoto ?? pls napmba msaada katika hili especial kwamama aliyetimiza miezi zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.