Recent content by BURDENBEARER

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sheria dhidi ya udukuzi wa mawasiliano ya simu

    Kama inavyojieleza, hivi hapa Tanzania ni sheria ipi inazuia udukuzi wa mawasiliano ya simu na je ni hatua zipi za kisheria zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu anayefuatilia mawasiliano ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake?
Back
Top Bottom