Recent content by Buraq Mustapha

  1. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    يا حنانو يا منانو يا ضيانو يا حضرة سليمان عليه السلام بيهقي حضرة مهري يا حضرة سليمان توكل يا أمير أبو شفان صاحب الجبل وبيهق ....
  2. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Hizi dharau zenu zitakuja kuwaumizeni sana jidaini tuu hivi hivi jifunzeni nidhamu
  3. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Balaa liwe nawe
  4. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Unaweza kuuliza hapa au katika sehemu ya gumzo la kibinafsi bila shaka
  5. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Muda wangu ni mdogo kwa leo lakini unaweza kuuliza hapa nitakuja kukupa jawabu
  6. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Hawa waliouliza ni watu sio gongo za mitende ya saudia swahiba wanahitaji kufahamu hivyo ni vyema kuwajibu wenye kuhitaji kujua
  7. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Someeni maiti zenu suratul yaasin na msimuache maiti pake yake ndani ya chumba chake na msimuache maiti katika kiza washa mshumaa ndani ya chumba cha maiti na katika kumuosha karafuu maiti iwe ya kutosha bila kusahau Dua
  8. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Hutumika katika mengi sana ya shari na kuwafunga wengine
  9. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Asalam alaykum warahmatullah unafanya shughuli za tiba swahiba?
  10. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Ipo tofauti kati ya shetani na jini wengi wanahangaika na mashetani na ndio hupewa utajiri haraka haraka na mara unawatoka na kubakia na sifuri au kifo kibaya majini utajiri wao una taratibu maalum
  11. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Zingatia ulichojifunza ndio la muhimu sawa sawa?
  12. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Adabu ni muhimu kijana
  13. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Unaweza kunitumia ujumbe kwa kukueleza zaidi
  14. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Mzigo unaomuelemea kiumbe kinachoitwa binaadamu bado ni mzito sana, dunia imemdanganya sana mpaka kusahau ulimwengu wake wa kiroho, dunia imejaa matabaka na mifumo ya kibinaadamu hali inayofanya kuwa na kundi la tabaka la wenye nguvu na wasio na nguvu ila kwenye ulimwengu wa kiroho huko kila...
  15. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Bado binaadamu hajawa tayari kuufikia ulimwengu wa viumbe wengine, tabia ya ujuaji mwingi mahoka kiburi na dharau pamoja na mzaha vitamkosesha vingi binaadamu hadi siku ya mwisho. Nimejifunza vingi sana hapa na naamini nitazidi kujifunza, nimeona watu wengi hukosa vilivyo vizuri sababu ya...
Back
Top Bottom