Kweli kabisa, Mungu wa kweli si muuaji, tena hafurahii kufa kwa mtu. Anaona kifo kama adui kwa wanadamu alowaumba.
𝑬𝒛𝒆𝒌𝒊𝒆𝒍𝒊 18:32 - 𝑴𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒎𝒊𝒎𝒊 𝒔𝒊𝒌𝒖𝒇𝒖𝒓𝒂𝒉𝒊𝒊 𝒌𝒖𝒇𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒆 𝒂𝒇𝒂𝒚𝒆, 𝒂𝒔𝒆𝒎𝒂 𝑩𝒘𝒂𝒏𝒂 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼; 𝒃𝒂𝒔𝒊 𝒈𝒉𝒂𝒊𝒓𝒊𝒏𝒊, 𝒎𝒌𝒂𝒊𝒔𝒉𝒊.
Hata hivyo Mungu atafutilia mbali kifo(mauti) karibuni.
1 𝐶𝑜𝑟𝑖𝑛𝑡ℎ𝑖𝑎𝑛𝑠 15:26...
MBINGUNI NI KWA AJILI YA AKINA NANI?
Tumezoea kusikia kuwa watu wazuri mara wanapokufa muda huo huo wanaenda mbinguni.
Utasikia watu wakihimizana kutenda mema ili mwisho wa siku waende mbinguni.
Hii ni habari inayoonekana kama ni ya kufurahisha ila sivyo neno la Mungu linavyofundisha.
Acha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.