Ni jambo la kawaida Rais anapotoka nje ya nchi wakati wa kuondoka anasindikizwa na Makamu wa Rais na anaporejea anapokelewa na Makamu wa Rais mbona kwa Nchimbi inakuwa tofauti shida ni nini? au mimi sijaangalia vizuri ya Rais akiwasili nchini kutoka Ethiopia?
HILI BANDIKO LINAMAPENDEKEZO MAKUBWA NA MUHIMU LAKINI BAHATI MBAYA WATANZANIA WENGI WAKO BIZE NA SIMBA NA YANGA BADALA YA KUJADILI NA KUTAFAKARI BANDIKO HILI AMBALO KULIANDAA LIMETUMIA AKILI NA GHARAMA KUBWA
Fedha za sukari ni zaidi ya Bilioni 500 alizopiga ndio maana kila mgombea wake inasemekana amempa Bilioni 1 kuhakikisha anashinda ndani ya kamati ya siasa ya wilaya na mkoa na kushinda kura za maoni...
Braza achana na mambo ya Kigogo watu wako field nenda mwenyewe Jimbo la Manonga, Igunga kaulize mgombea wa Bashe watakwambia ni nani, nenda Jimbo la Kisesa kwa Mpina watakwambia mgombea wa Bashe ni nani anayetaka awe Mbunge, nenda Jimbo la Ushetu kaulize mgombea wake ni nani watakwambia...achana...
Braza kama mambo hujajui unapotezea nenda Jimbo la Manonga kaulize mgombea wa Bashe watakwambia nenda Jimbo la Kisesa kwa Mpina watakwambia mgombea wake ni nani, nenda Jimbo la Ushetu kaulize mgombea wake ni nani watakwambia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.