Recent content by bukore

  1. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chama cha kidalali na wapiga dili asema Dr. Slaa

    Ukweli umeshaeleweka waliobakia ni wa kaskazini tu ndo wanakomaa na chadema
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Kikwete ulikosea sana na sijui tukueleweje

    Magari yana umuhimu wake na huduma za afya zina umuhimu wake,bila mhalifu,askari hana kazi,pasipo maradhi mganga hana kazi,tafakari
  3. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole anapotosha kuhusu mahusiano ya ZEC na NEC

    Watanzania tulio makini lazima tujivunie vijana kama polepole,anatufahamisha mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa letu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Wamepinga matokeo wapi?,toa ufafanuzi mwana ukawa watanzania tulio makini tukuelewe
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

    Ccm mbele kwa mbele
  6. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Wenje hana chake,atafute kibarua kingine,wenye ofisi wamefika
  7. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Wenje atafute kibarua kingine,wenye ofisi wamefika
  8. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Ccm chama kubwa,mnatisha mwanza ,magufuli bado kuapishwa tu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

    Mambo ya mtandao,ukawa wanakurupuka na kutoa kauli zisizo na maana,inatakiwa kwanza kupata source na ukweli wa habari yenyewe,hapo mkapa hakukosea kuita malofa na mbumbumbu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Magufuli anaunguluma jangwani live
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa atashinda urais, hili halina ubishi! CCM wanaona siasa kama soka!

    Mbowe kaisha shituka kaanza kuhamisha mabilioni yake aliochota kwa lowassa,ukawa kimenuka,ccm#1 hapa kazi tu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tuliposema kuwa Mbeya sio ngome ya Upinzani nadhani hatukueleweka

    Sugu rais wa maandamano hana chake safari hii
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni Saa 144 za Kifo cha CHADEMA

    Ukawa kushnei,kuanzia jumatatu wanaanza kukabana mashati,mbowe kauza chama wengine hawajapata mgao
  14. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Natambua kuna ambao ni wanaCCM mchana halafu usiku ni wapinzani!

    Magufuli rais awamu ya tano,tinga tinga kiboko ya mafisadi
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

    Upendo na amani watanzania,kuna maisha baada ya uchaguzi,ukawa itafutika tanzania itabaki,chuki ya nini?
Back
Top Bottom