Recent content by bujoraone

  1. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Hayo malalamiko yako mkuu! Si uyalete hapa na vielelezo vya hicho cheti mlichosaidiana kuchonga wanajamvi wakione. Au ukipeleke kewenye vyombo vinavyohusika? Tofauti na hapo tutakuona kama mlala mikaji tu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Unayaongea haya ukiwa na kiwango gani cha shule labda tuanzie hapo?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Aya! Unatuuliza sisi tena? We si ndio umeleta hoja hii hapa? U must b out of ur mind ma dear.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    hahahahahaa....Umepanick mkuu lala utajiua kiongozi, kuhusu swala la elimu hapa sio Tcu peleka malalamiko yako sehemu zinazohusika na jambo hilo. Pili ulisema mwanzoni kuwa Mbula alikuwa mwajiriwa tu, hapa tena unakuja na neno mshirika wa kampuni huoni unaelekea kudata mkuu?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Wewe utakuwa ubebakia na akili ya kukukumbusha wakati wa haka kubwa tu. Ili usijinyee, kama unashindwa kuelewa kile wadau wengi wanachokisema juu ya ufisadi wa jiji. Kuwa umefanyika wakati wa meya Manyerere 2010-2012. Sasa huelewi nini hapo?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Watakuja wenye elimu fupi kama yako watakujibu. Binafsi sijaona hoja hapo. Zaidi ya malalamiko na kuonyesha mtu yuko ktk wakati mgumu sana kimaisha. Piga moyo konde mkuu iko siku yatakwisha.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Hahahahaha... kweli wewe ni zwazwa. Usiyejitambua, mimi sishadidii mtu hapa ila napinga upotoshaji wenu wa vitu msivyovijua. Juu ya ufisadi wa halmashauri ya jiji
  8. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Kwakuwa wewe unaishi kwa njia hizo basi, unahisi lila mti humu anaishi kwa staili hiyo? Bado sana wewe rudi shule kwanza ukajifunze kujenga hoja ndio uje hapa kubishana na wanaume.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Acha kuishi kwa hisia mkuu! Huyo kachembeo katoa kile anachokijua kutuelimisha nasie tusiojua. Sasa hapo wewe unataka nini
  10. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Wewe unaona mapambo hayo?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Acha wivu wa kike wewe! Uta..ole wa mjini hapa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Peleka huko kwa wapuuzi wenzio story za kitoto hizo. Mabula hamumuwezi kwa namna yeyote ile. Maana wananchi kazi zake wanaziona, mabula sio mtu waaneno ni mtu wa kazi tu. Kama mlifikiri kupata umeya wapambe mtanufaika mnajidanganya. Fanyeni kazi acheni kuomba poo kiaina
  13. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Namtaja wenje kawasababu ndio haswa ufisadi huo unamhusu kwa kiasi kikubwa. Hasa uuzaji wa kliniki ya makongoro. Mwaka 2011 Manyerere akiwa kama meya na wenje akiwa mjumbe wa kamati ya fedha, walishiriki kikamifu kuingizwa mkenge na mkurugenzi wa jiji wakati huo bwana Willson kabwe. Na mwaka...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Nimeshakuelewa mpaka hapo. Kumbe wewe ndio walewale wanasiasa uchwara. Wanaotembea na hadithi za kufikirika, bado sana wewe unaonyesha kiwango cha chini mno juu ya uelewa wa mambo gani yakujadili kama mtu anayejitambua! Nani alikuambia kuwa umasikini ni sifa ya kuwa kiongozi? Manake hatukiewi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Sisi hapa hatuhitaji kujua mambo yake binafsi. Tunapaswa kujua kazi zake full stop! Mabula kwa maana ya utendaji ni mtenda kazi anawajibika vizuri ktk majukumu yake. Na pia ameonyesha uwezo usiotiliwa chembe ya shaka ktk kuwaletea maendeleo wananchi wa jiji la mwanza kwa ujumla wake. Kwahiyo...
Back
Top Bottom