Recent content by bugyaila37

  1. B

    Natafuta sehemu YA kufanyia field

    Mm ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha Nasoma diploma YA banking and finance natafuta sehemu YA kufabyia mazoez yaan field please mwenye connection nisaidieni
  2. B

    Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Napenda kutumia nafasi kuomba kwa mtu ambaye anajua Dawa YA ugonjwa unaoitwa vitligo ni ugonjwa Ambao nimekaa nao Muda takribani miaka minne kwa msaada nibeep nitakupigia kwa Namba Hii 0678213093 naombeni kwa Moyo moja
Back
Top Bottom