Recent content by buda17

  1. buda17

    Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Naona wewe unatafuta mteremko, shauri yako, eti nilipata mwanamke muuza bar. Daah we jamaa hapo sawa kabisa unahitaji maombi makubwa mno
  2. buda17

    Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

    Likud ni ugonjwa gani mkuu. Unajua naumwa kitu Fulani kama magonjwa ya zinaa Ila nimepima vipimo vyote hadi cha kuotesha mkojo lakini sijaona maambukizi. Nimechoma masindano kibao lakini wapiii
  3. buda17

    Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

    Hyo sindano ya kutibu chlamydia inaitwaje mkuu
  4. buda17

    Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    Sawa, hyo mbona nimetumia ya sindano s ndo wanaiita 'pawa sefu' kwa kiswahili Ila imedunda pia
  5. buda17

    Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    Yani saiv nimemwambia asubiri kwanza mpaka tupone wote ninachohangaikia saiv ni kupata kuujua huu ugonjwa na kupata matibabu sahihi
  6. buda17

    Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    Pale nitaenda pia nione, maana ikishindikana huku nilipo nataka niende dar
  7. buda17

    Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    Sawa sawa kak ndo nasubiri hyo keshokutwa nikutane na daktari bingwa. Nitaenda naye pia
  8. buda17

    Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    Nikikutana nae tatizo linatokea tena baada ya siku Kama tatu na sina historia ya kuchepuka.
  9. buda17

    Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    Yuko wapi huyo nimatafute tu kwa gharama yoyote
  10. buda17

    Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    [emoji106][emoji106][emoji106]
Back
Top Bottom