MLO KAMILI KWA AFYA BORA.
Mlo kamili, ni mlo ulio na aina ya makundi ya chakula tofauti tofauti, vyenye virutubishi bola, ambavyo hupatia mwili afya iliyo bora. Mlo kamili unaudwa na makundi ya chakula mengi na tofauti kulingana na kiwango cha virutubishi Kwa kila kundi la chakula lilivyo...
KILIMO BIASHARA ANZIA SOKONI.
Mkulima ili aweze kufanya uchaguzi wa kilimo anachotaka kufanya inatakiwa afanye ziara katika soko ili aweze kujua ni nini wateja wanahitaji, na nikwa kiasi gani, na ubora upi unahitajika, na nibei gani iliyopo Kwa wakati huo. Haya yote mkulima yanamsaidia kuweza...
KILIMO BIASHARA
Kilimo biashara, ni kilimo chenye fursa kubwa Kwa kila mkulima pamoja na vijana kwani ni kilimo ambacho kinampatia tija mkulima haswa katika utambuzi wa masoko na kujua ni aina gani ya kilimo anatakiwa afanye ili aweze kunufaika na faida, mwisho mwa msimu na kupata kukidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.