Recent content by bruno kweka

  1. bruno kweka

    JamiiForums Tanzania Kuwajibishwa kwa viongozi wabadharifu hakuitaji mazungumzo

    Nimejaribu kusoma ripoti ya CAG 21/22 kwenye upande wa mashirika ya umma kwa sehemu tu, Watanzania wenzangu hali ni mbaya sana, pesa nyingi sana zinapotea. Nimeshangaa kuona baadhi ya mashirika na taasisi yanaendeshwa/yanajiendesha kwa mtaji hasi, ni kitu ambacho kwa kweli ni hatari sana...
  2. bruno kweka

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hayo ni mawazo yake anayo haki kuyasema na anao uhuru kuyatoa . Hatuwezi kuwa sawa wote kifikra au kimtizamo , tutatofautiana TU. Lakini suala jingine hatuwezi kupinga kila kitu TU Cha muhimu ni utafiti wa kutosha kufanyika kwa hiko alichokisem kama ni kweli au la. Lakini pia tumjibu kwa hoja ...
  3. bruno kweka

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alitelekeza SGR ya Tanga-Arusha-Musona ili kupendelea Mwanza na Chato

    Lengo lako limeeleweka , lakini Mimi nafikiri huu si muda wa kuanza kutafuta sababu za kulaumu na kuanza kumsema Rais aliyepita. Amefanya kwa sehemu yake alipoweza. We don't need ourselves everyday to find faults But if we will find the remedy tutafika mbali sana.
  4. bruno kweka

    JamiiForums Tanzania Uchumi kudorara huenda chanzo ni Waziri wa Fedha wa Zamani Dkt. Philipo Mpango na siyo Dkt. Mwigulu? Msikilize Peter Msigwa

    Kwanini tusiwe na tabia ya kufanya tafiti pamoja na chunguzi Ili baadaye utakaposema jambo kwa umma uwe na taarifa kamili. Binafsi Mimi naona huo ni mtizamo wako kutokana na kumsikiliza Mhe. Peter Msigwa ila nafikiri Ili kuondoa (confusions) tuwe na data kamili kutokana na tafiti pamoja na...
Back
Top Bottom