Mtoa mads sidhani kama upo sawa,ninachokiona mimi ni kuwa wengi waliozaliwa hiyo miaka unayosema 80's na 70's kwa kipindi chao wakti wamekuwa na kuanza kazi..fursa za ajira zilikuwa nyingi ilifika wakati hata mtu unaweza kuchagua kazi sababu unakuta umeitwa kwenye kazi kama tano ukizoapply,sasa...
Wandugu habari zenu. Nina tatizo sijajua ni allergy au ni nini, siwezi kushia vitu vya baridi au kunywa, mfano maji, soda etc...Hata maji baridi kuogea nashindwa. Ikitokea huwa nakuwa nawashwa mwili mzima na natokwa na vipele. Nahitaji msaada sababu hii hali inaniumiza sana na sijazaliwa nayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.