Recent content by Brown14

  1. Brown14

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Yaan hii imetokea kwa nyakati tofautii na sina ndugu wala rafiki japo kadi ililiwa na hapo ndo kimbembe kilipo anzia nlipoenda ndan wakanambia nrudi kesho wanipe wamenizungusha kunipa nkaenda kutoa naambiwa sina hata mia nkabak nashangaa kuuliza wananambia nmecheza michezo ya kubahatisha kitu...
  2. Brown14

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    I mean wilaya ya kasulu mkoa wa kigoma hio ni typing error tuu
  3. Brown14

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Mkoa wilaya ya kasulu mkoa wa kigoma
  4. Brown14

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Hawakua wananipa mda ukifika pale wanakua biz na ww mpaka mda unaisha upo umo umo bank wanakuwambia uje tena kesh
  5. Brown14

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Ok nilichukua kama wik kuipata na hio bank n NMB ...na mjomba na bibi hawakupewa kabisa hio pesa mpaka leo
  6. Brown14

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Hawakuniambia majina yao bal walikua wanataja namba ya ID ya uyo mfanyakaz
  7. Brown14

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Daaaah yan ilinipa uwoga sana Uzushi kama hayajakukuta ndug yang Aaah n Watu wanahisi n masihara wanahisi tunachafua sifa za bank lakin ukwel ndo huo
  8. Brown14

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Benki mbona kama hakuna usalama Tena.. Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa. Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi, wakati naenda kutoa nakuta hamna hata mia. Naenda kuuliza ndani wananiambia nimecheza michezo ya...
Back
Top Bottom