Sina uhakika kama hawaoni kinachoendelea sasa..kukosekana maadili katika utendaji..Nidhamu na heshima katioka uwajibikaji,Rushwa na wizi na ubadhirifu kila idara jamani..kweli kitengo hiki kazi yake nini..watu wanatia aibu kila kukicha hata watoto wanaoanza kukukua sasa wanajua hali ni mabaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.