Recent content by Britmwandri Sr

  1. Britmwandri Sr

    Proof of Charitable Organization

    Hello, Naomba kujua taratibu za kufuata ili kupata certificate of proof of charitable organization kwa taasisi za kidini zisizofanya biashara. Natanguliza shukurani
  2. Britmwandri Sr

    Msaada: Kuna msamaha wa kibali cha kazi (work permit exemption) kwa mgeni aliyeolewa Tanzania?

    Ok. Je, Kabla ya Magu sheria iliruhusu msamaha kama huo? Ninafikiri kama dirisha hilo lilikuwepo pengine bado inawezekana japo itahitaji ufuatiliaji wa karibu
  3. Britmwandri Sr

    Msaada: Kuna msamaha wa kibali cha kazi (work permit exemption) kwa mgeni aliyeolewa Tanzania?

    Ninatanguliza heshima na shukurani. Kwa mtu aliyeolewa Tanzania kwa zaidi ya miaka 10 na kuwa na watoto na mumewe, ikiwa hajafanya taratibu za uraia anaweza kupata cheti cha msamaha wa kibali cha kazi? Iwapo anaweza kupata msamaha ninaomba kujua ni taratibu zipi za kufuata. Asante.
Back
Top Bottom