Habari wanaJF
Mimi ni kijana umri miaka 21, elimu kidato cha sita na nimefanikiwa kusoma chuo kikuu mpaka mwaka wa pili na nimeacha mwaka huu kutokana na changamoto za maisha.
Nimekuja kwenu wanajukwaa kupata usaidizi wa kazi ama ajira yoyote. Mimi ni kijana muaminifu, mtiifu na mwenye bidii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.