Recent content by Brilliant Beauty

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Nimefanya intern kwa miezi 2 wakaniajiri. Sijaenda school of law nitaenda Janury Mungu akibariki.🙏 Asante kwa ushauri
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Sijawa dalali na nimepata kazi. Mipango ya Mungu ni mingi sana.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa

    Vyuo watakazaaa mitihani sana , 😂😂
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa

    Nini maana ya field
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Upo sahihi pia. Mkoani field ni chapu Ila sisi wa huku huku town ni shida Sanaa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Kabisa . Umesema Sanaa bro . Wangekuepo watu 10 Kama wewe wanaosimamia ukweli Tanzania ingefika mbali . Watu wamejaa wivu na ubinafsi tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Genz wapo Wapi . Kuwa dalali tu wewe mkuu, tunaewa Ila tunataka mabadiliko
Back
Top Bottom