kiukweli elimu sio ufanisi mzuri wa kazi ila elimu inaweza ikakufanya ukawa mfanisi mzuri wa kazi.
So CV nzuri ni kitu muhimu kwa maana ya hehima na ajira za Tanzania but hekima na akili ya uongozi ndo tunachokihitaj kwenye siasa.
jaman mtu anaovyoomba ushaur jaribuni kumshauri sio kumkashifu na kama hujui bora ukae kimya sio kumjibu kwa kumkashifu mpo hapo
ila kaka kwa ushaur wangu jaribu kujikeep bize muda mwing ili mwili uwe unachoka so utaanza kuacha taratibu
hapo kweli mzuri kabisa hayupo ila wanaojaribu ndo wapo akiwemo
magufuli na
mwakyembe
ila wengine bora 2weke watt wa primary wataweza kutoa maamuz ya msingi kdg
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.