Recent content by Brightney22

  1. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

    ni wanawake wacheche wanachepuka kwa tamaa zao.za mwili au tabia yao tu. ila walio wengi wanasababishiwa na mwanaume. jaman una mwanaume ndani haya yeye anaitwa Mr. sina.. hajawah kujitahid juu yako hata basi siku moja. yeye ni sina hata bila kukwepesha ama lugha nzuri ya kumfanya mtu aendelee...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

    usilipize. Muombe mungu akuepushie hilo unalotaka kufanya. nadhan huyo ni ndugu yako inabidi kumuheshimu kama ndugu wengine
Back
Top Bottom