Ok, Asante sana
vipi ikiwa wafanyakazi wako kwa muda wakisubiri ajira nyingine, suala la pension kwao likoje?
Nina Nurses wanaosubiri ajira walizoomba serikalini ila kwa sasa ninafanya nao kituoni kwangu. Ninalazimka kuwalipia?
Hello,
Naomba kufahamu kuhusiana na sheria ya mafao (Pension). iwapo nina wafanyakazi ambao ni part time, mfano daktari anayefanya kwenye kituo cha afya kwa masaa, sheria inanitaka nifanye makato ya pension? au ikiwa wafanyakazi wako kwa muda wakisubiri ajira nyingine, suala la pension kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.