Recent content by Brian Gladson

  1. Brian Gladson

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Mimi nafanja hiyo biashara natoa mbao mzigo wa semi (3500-4000pc) kutoka Makambako, Njombe, Matembwe. Na deal na mbao fupi (12ft) kufunga mzigo wa semi ina cost 10-15 million inategemea mchangajiko wako wa mbao. Usafiri una cost 2.7-3.3 million kutegemea na wapi unapakia mbao. Ushuru una cost...
Back
Top Bottom