Recent content by bravothinker

  1. B

    Msaada: Jinsi ya kupata chaneli za bure kwenye samsung led TV yenye receiver ya ndani kwa ndani

    Niko Dar natumia tv ya samsung yenye receiver ya ndani nimejaribu kusearch chanel kwa kutumia antena ya kawaida(ya star times) zimeingia chanel zote za star times lakini ziko scrambled isipokuwa ile ya matangazo yao(star guide) ndio inayoonesha. Naomba msaada wenu wakuu nini nifanye ili niweze...
  2. B

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Poa kesho naenda kununua, pia naweza kufunga lnb 2 hiyo na nyingine kwenye dish hili hili la azam?
  3. B

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Hiyo inverto ultra single inapatikana duka gani hapa dar na kwa kiasi gani kaka mkubwa robbyl? Nikikosa hiyo ile stargold haifai?
  4. B

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    High gain lnb gani mkuu robbyl niitafute?
  5. B

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Habari zenu wakuu hivi ni satellite gani nzuri FTA yenye channels za movies, music, documentary, cartoons and most of all sports naweza kupata kwa dish dogo la Azam tv? Niko Dar natumia receiver ya Qsat Q13G natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom