Recent content by Bravolert

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kidonda kina siku 12 hakikauki na kupona, natumia dawa

    USHUHUDA JINSI NILIVYOPONA KIDONDA CHANGU Yalishawahi nikuta. Kwanza Pole sana kwa changamoto ya kidonda. Mi binafsi nilipata jeraha kubwa kidoleni, kiasi nilikwenda hospital ya serikali mwenge Dsm lakini wakasema napaswa kushonwa sababu kidole kimechanika sana nyama zipo wazi, niliandikiwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kutengeneza akaunti ya ARIS naulizwa registration number

    Pole sana kijana na hongera kwa kuchaguliwa udsm. Hapo unaingizs registration number ambayo upo kwa admission letter yako............SIO namba ya form 4 mfano 2024-04-12208 hiyo ndo registration number
Back
Top Bottom