Recent content by Branovibestz

  1. Branovibestz

    Uanzishwaji wa TV kwa kutumia Internet kisha ionekane kwenye Kisimbuzi

    Habari wana JamiiForums, naomba msaada wa Elimu juu ya Uanzishwaji wa TV (Digital TV) kutumia Internet kisha ionekane kwenye kinga'muzi hili lipoje? Na je vifaa gani vinahitajika? Zoezi zima linafanyikaje? Nitashukuru sana kupata ufafanuzi..
Back
Top Bottom