Recent content by Brand Wilson

  1. B

    JamiiForums Tanzania Our ex-ambassador is possibly bipolar and a mythomaniac pathological liar

    The late Membe ,by the accusations posed to him by Mr.Polepole ,is posed to be a HISTORICAL ENEMY OF THE MAJORITY. It's obvious ,if such allegations are true,that the late Magufuli's governance was sabotaged and the system took no legal actions against the actors the system barely,unders it's...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue Artificial Intelligence aliyoiunda Mtanzania KitongaAI

    Wewe kwel ni mtumiaji wa gpt?!!!!.....inatia mashaka !
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina imani kubwa sana kuwa PROGRAMMING itakuja kunilipa ndo mana nimetumia Nguvu kubwa sana

    Hakuna lugha "Bora" kuliko nyingine ila Kuna lugha "Muhimu" kuliko nyingine kulingana na unachotaka kufanya kama programmer. My point is ,amua kwanza unataka kuwa "Data scientist ", "Web developer" ama "Machine & AI expert" Unapokutana na Mtu anakwambia anaweza Ku code Kwa lugha nyingi huwa ni...
  4. B

  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

    Your spirit is great sir. Ila tatizo nalojifunza ni kwamba programers wengi bongo Wana base na web development.Nagundua ni kama wengi wanakwepa data science ,machine learning na AI ,Maneno ambayo ndiyo back bone ya system development. Web development ni Muhimu but especially for front end . Wewe...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafundisha Programming kwa bei nzuri

    Unashauriwa the right way of course marketing......teach free ,let people find value and they will pay! Hii kanuni mbona bongo inakuwa ngumu?
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina imani kubwa sana kuwa PROGRAMMING itakuja kunilipa ndo mana nimetumia Nguvu kubwa sana

    Focus on a niche!....programming languages ni nyingi mno ila wanaofanikiwa ni wale wanaoamua kuchukua njia Moja na kujenga projects......data science & algorithms,web & app development or ML & AI. Unachotakiwa ni kujenga uwezo wa kutoa Mchango maalumu kwenye project kubwa za development tutakazo...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je wewe ni developer Unatumia Languages kazi ku develop projects zako?

    Wanao amini AI inaweza ku-replace programming ni wale ambao hawajawahi kabisa ku-code!. AI unafanya coding kuwa easy process lakini creativity and ideation utaendelea kuwa kazi ya programmer in the process maybe if you are just a guy reading articles and come around here na kuongea mambo usiyo...
Back
Top Bottom