mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 natafuta mchumba anayejielewa nini anafanya ili awe mke wangu wa baadaye....awe na sifa zifuatazo.
awe na miaka kati ya 20-24
awe mkristo
elimu kuanzia form 4 na kuendelea
mkazi wa dar
tabia nzuri na mcha mungu
mengine tutarekebishana.
tuwasiliane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.