Ni kweli alimdhihaki sana ndugu lowasa lakini kwa kipindi hiki cha msiba ni vyema ndugu zangu tukaweka pembeni tofauti zetu na wote tukaungana pamoj katika maombolezo ya watanganyika wote
Nashangaa why hii thread haijatolewa hadi now kwakuwa n dhahiri kabisa ni ya upotoshaji na ya kuonesha kwamba sisi waislam inabidi tusupprt sehem fulan tukiweka thread za maana znatolewa hii ya uchochezi y inaachwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.