Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi imeshindwa kueleza maana ya neno FARAGHA... Seriously?!! Kendrick ... We have a loooong way to go as country ...najiuliza nani Huwa ana draft miswaada & sera
Halafu tunasema nchi yetu inaheshimu misingi ya demokrasia ili hali tuna wapendwa walio tekwa na hawajulikani waliko kisa UHURU WA KUJIELEZA NA KUTOA MAONI..
Tunatengeneza sheria zinazolinda udhalimu wa watawala & mamlaka za serikali na kukumbatia ukiukwaji wa haki za raia..
Ni wakati muafaka Kwa wawakilishi wa wananchi kujua ni sheria gani wanazipitisha na Kwa maslahi ya nani?..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.