Recent content by boyaroni

  1. B

    Msaada: Mtoto anaumwa kifua kilichosababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa

    Naomba msaada wa matibabu kwa mtoto anayesumbuliwa na kifua ambacho inasemekana kimesababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa, kwa sasa anaumri wa mwaka mmoja na miez 6 ameanza kusumbuliwa na kifua anashindwa hata kupumua hadi wampepelee ndo anapata nafuu. Naomba msaada kwa mwenye...
Back
Top Bottom