Recent content by botafongo jr

  1. B

    JamiiForums Tanzania Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

    ukiangalia tu matokeo yanayotolewa utagundua kuwa bado idadi ya watu ni kubwa kwa wanaotakiwa kuendelea na oral interview? sasa swali langu ni kuwa hiyo oral itafanyika kwa muundo upi? tuchukulie mfano dar es salaam: clinical officer nafasi 40 lakini oral wanaotakiwa kufanya kwenye kituo hiko...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

    hivi kwa mfano kwenye kituo chenu mnatakiwa mfanye oral interview mpo 200 au 300, hiyo oral interview kwa idadi hiyo ya watahiniwa itafanyika kwa muundo gani? wazoefu ebu mtujuze huwa inafanyikaje oral interview yenye idadi hiyo kubwa ya watu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Unauhakika mzee na hii taarifa yako kwamba watu wameshapigiwa simu waende kuripoti? Mana Mimi lonja nilizonazo ni tofauti na hizo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    washakula kiapo leo hiyo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    wameshaapa tayari?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    hawa wanaomalizia RTS kwani bado hawajajua tarehe yao ya kuapa?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    hivi hizi kozi za RTS nao wanapataga likizo kama wale wa TMA au wao ni jaramba mwanzo mwisho? Na kozi ya level 3 inachukuaga mda gani?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    watu wana hadi 40 wanaingia usiwe na wasiwasi mda bado upo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    sasa habari za uhakika ni zipi mana wengine mnasema mda ushaisha wengine wanasema usaili bado haujaisha so ukweli ni upi?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    hivi wakifanyiwa usaili makambini inamaana wanamaliza kila kitu hadi vipimo au wakifika tena kule RTS wanafanyiwa tena usaili pamoja na vipimo?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    wanaweza wakaanza lini kureport RTS?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    hizi taarifa ni za kweli mkuu?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Okay sawa Wanafanyia wapi hii kozi msata au?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Watu gani tena hao mkuu?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Hiki bado kipo?
Back
Top Bottom